Karibu

PREMIER SCHOOLS

English

Premier Schools providing facilities for boarding only. Our aim is to provide education that empowers students to meet all challenges of life.
Premier Schools believed as the one of the best School in Bagamoyo Pwani as well as Tanzania.

WASIFU WA SHULE
Slide 1
Majengo ya Utawala
Slide 2
Madarasa yetu
Slide 3
Viwanja vya michezo
Slide 4
Shughuli za Nje

About Our School

Tunalenga kutoa elimu bora inayojenga maarifa, nidhamu, ubunifu, na maadili kwa wanafunzi wetu. Mfumo huu unarahisisha mawasiliano, taarifa, na huduma za kila siku za shule kwa njia ya kisasa na salama.

Vision & Mission

Premier Schools providing facilities for boarding only. Our aim is to provide education that empowers students to meet all challenges of life. Premier Schools believed as the one of the best School in Bagamoyo Pwani as well as Tanzania.

Habari na Matangazo

Fuatilia matangazo ya shule na toa maoni yako kwa urahisi.

KARIBUNI KATIKA PLATFORM YETU YA KUPEANA TAARIFA
Karibuni wazazi , kwa sasa tumeanzisha mfunmo mpya wa mawasiliano kila kitu kwa kila wiki tutaweka hapa na tutakuomba utoe ushauri wako kwa njia ya whatsapp katika hii page hapo chini na kila mchango utafanyiwa kazi, Ahsanteni sana.
Ubora wa Taaluma Ufuatiliaji wa masomo, matokeo, mahudhurio, na maendeleo ya mwanafunzi kwa urahisi.
Ulinzi wa Mfumo Login salama kwa wanafunzi, walimu, wahasibu, academic, admin, na manager.
Matangazo ya Shule Matangazo muhimu ya shule yanaonekana moja kwa moja ndani ya mfumo kwa haraka.
Mawasiliano Rahisi Watumiaji wanaweza kutoa maoni haraka kupitia WhatsApp comment link bila usumbufu.